HATUA YA KWANZA
Unga, samli, castad pikipowder, saladi, nyama ya kusaga, mayai, chumvi na maji.
Unasaga unga wako ukimaliza umachangaya na saladi zako pamoja na kuchemsha mayai yako nabkuayakata vipande kisha unachanganya mayai katika unga wako.
HATUA YA PILI
Baada ya matayarisho hayo unachanganya nyama ya ng'ombe ya kusaga mpaka iwe katika muonekano mzuri
HATUA YA TATU
Baada ya mchanganyiko huo hatua inayofuata ni uchanganyaji wa maziwa katika chakula chako. sasa chakula chako kitakuwa na mchanganyo wa unga, mayai,saladi na maziwa.
Baada ya kumaliza mchanganyiko huo sasa tunayarisha chakula chetu kwa kukiweka kwenye oven. Kwa muda wa nusu saa kwa moto mdogo mdogo ili chakula chako kiwive uzuri na kiwe na muonekano mzuri
Sasa tayari chakula chako kuliwa na kitakuwa kinaonekana kwa muonekano mzuriiiii.........
INFORMATION TECHNOLOGY
Hii ni taaluma nzuri sana ya kujifunza blog
No comments:
Post a Comment